ndugu waislam nimeamua kufungua grup hili la wasap ambalo linatuelimisha juu ya elim ya kislam ndungu waislam inatupasa tuyafute yale maamrisho ambayo ni meema na yale ambayo yatakuwa na mushkeli basi tuyatafutie ufumbuzi kupitia kw kwa watu wanaojua zaidi juu ya hii ya kislam.natoa angalizo kwa wale watu ambao watuma fatwa bila bitisho wowote ule basi wache tabia hio endapo mtu ataendelea kutoa fatwa bila ya usibisho wa ndani ya kurani na hadithi basi atakosa uwanachama ndani ya grupu hili
hii ni ratiba rasmi ambayo itatumika kuongozea grup hili kila siku muda ni saa tatu za asubuhi kwa kipindi hichi cha mwezi wa ramadhani .ratiba ni kama ifuatavyoo
JUMATATU -MIRATHI
JUMAANE-NDOA
JUMATANO-ZAKA NA SADAKA
ALKHAMIS-SALA
IJUMAA-MASWALI
JUMAMOSI-MAJIBU
JUMAPILI-RAMADHANI NA LAILATUL QADIR
natumai ya kwamba tutaenda vizuri..ujumbe huu umetolewa na admin wa grup hili nawatakia ramadhani kareem
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni